Bergkamp alikuwa kipenzi cha mashabiki wa the Gunners wakati akiwa na klabu hiyo kwa miaka 11. Baada ya kusajiliwa na Bruce Rioch kutoka Inter Milan kwa ada ya pauni milioni 7.5 mwaka 1995, aliiongoza Arsenal kwenye kilele chake cha mafanikio na kuchukua mataji.
Bergkamp
Mshambuliaji huyo aliisaidia Arsenal kushinda mataji matatu ya Ligi Kuu ya England – alikuwa kwenye kikosi kilichocheza mechi 49 za ligi kuu bila kufungwa mwaka 2004 – pia alishinda mataji manne ya Kombe la FA.
Bergkamp

Dennis Bergkamp hakupenda kabisa kutumia ndege. Hii ilitokana na ajali waliyopata wenzake kipindi wakiwa kwenye ‘akademi’ nchini kwao Uholanzi.

Mara nyingi Bergkamp alilazimika kusafiri mapema kabla ya mechi ili atumie usafiri wa treni. Hakusafiri na timu safari ndefu ili kukwepa kutumia ndege. Alikosa hadi baadhi ya mechi kwa kutokutaka kupanda ndege. Jina ‘The non flying dutchman’ lilitokea hapo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa