Mchezaji wa Barcelona, Memphis Depay amethibitisha nia yake ya kuendelea kusalia Nou Camp kwa msimu wa 2022-23 licha ya tetesi kuibuka anaweza kuuzwa kutokana na ukata wa kifedha unaoikabili klabu hiyo.

Depay alisaini mkataba wa miaka miwili Camp Nou msimu uliopita wa joto, mustakabali wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi bado hauko wazi.

 

Depay, Depay Anataka Kusalia Barcelona., Meridianbet

Depay, 28 amerejea kwenye kikosi cha kwanza, akifunga mabao 11 katika mechi 24 za La Liga akiwa katika kikosi hicho cha wakatalunya.

Romano aliambia kituo cha FIVE cha YouTube: “Kama alivyosema hadharani, anataka kuendelea na Barca na anataka kujionyesha msimu ujao. Dhamira yake ya sasa ni kusalia kwani anataka kucheza Ligi ya Mabingwa.”

Meneja wa Barca, Xavi amekiri kuwa Depay amepata nafasi yake katika timu hiyo, na kusema kwamba lazima acheze ikiwa ataendelea kucheza katika kiwango hicho.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa