Di Maria MVP Fainali Copa America 2021

Mchezaji wa Paris Saint German Angel Di Maria amefanikiwa kuwa mchezaji bora wa michuano ya Copa America baada ya kuisaidia timu yake ya Argentina kubeba ubingwa wa michuano hiyo mbele ya wenyeji Brazil.
 Katika mchezo ulijawa ufundi na ubora wa hali ya juu kutoka kwa pande zote mbili, aliibuka Di Maria kuwa muamuaji kwa kumalizia kwa ufundi mkubwa mpira uliwatoka mabeki wa Brazil Kizembe.

Mbali na kuwa katika kiwango kizuri kwa mchezaji huyu, Neymar wa Brazil naye alikuwa katika moto sana na kufanikiwa kufanya viungo wakabaji na mabeki wa Argentina kuwa na wakati mgumu japo hakufanikiwa kushinda mechi hiyo.

Lionel Messi anaweza kuwa mchezaji mwenye furaha zaidi kutokana na matokeo hayo ikiwa ni kwa sababu ya ukweli kuwa kwa mara ya kwanza anashinda kombe la Copa America ikiwa ni taji kubwa zaidi kushinda akiwa na jezi ya Argentina.

Di Maria alieleza kuwa Lionel Messi alimshukuru baada ya Messi kwa kumsaidia yeye kutimiza ndoto ya kuwa na kombe hilo kubwa katika historia ya maisha yake akiwa kama mchezaji wa kimataifa.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe