Sokoni kumenoga. Beki wa Sevilla, Diego Carlos yupo mbioni kuweka wazi lengo lake la kutaka kuondoka klabuni hapo majira haya ya baridi.
Sevilla wamegomea ofa ya £30M kutoka kwa Newcastle United huku wakishinikiza bei wanayoitaka wao ni £45M.
Kwa hali ilivyo, Diego Carlos ameshafikia makubaliano binafsi na Newcastle na hivyo, kilichobaki ni Carlos kushinikiza kuondoka Sevilla.
Endapo Carlos atafanikiwa kuweka shinikizo kwa uongozi wa klabu hiyo, kiuhalisia, Sevilla hawatokuwa na nguvu ya kugomea kumuuza mchezaji ambaye hataki kucheza tena klabuni hapo. Usajili huu utafanikiwa?
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA