Mshambuliaki wa klabu ya Liverpool Diogo Jota huenda akakosa mchezo wa fainali ya Carabao Cup kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mchezo wa klabu bingwa barani Ulaya dhidi ya Milan.

Diogo Jota alitolewa nje kipindi cha kwanza pale ambapo alipata majera ya ankle, na alipoulizwa kocha wa timu hiyo Jurgen Klopp kuhusu hali ya mshambuliaji huyo, baada ya mchezo kuisha alisema, “haionekani kuwa amepata majeraha makubwa”

Diogo Jota, Diogo Jota Kuukosa Mchezo wa Fainali ya Carabao Cup, Meridianbet

Baada ya kufanyiwa vipimo na kuangaliwa tatizo imeonekana ana matatizo ambayo tofauti na ilvyotarajiwa, na mshambuliaji huyo atakuwa nje ya uwanja kwenye mchezo wa wikiendi hii dhidi ya Norwich, na bado kuna wasiwasi kama ataweza pona mpaka siku ya mchezo wa fainali dhidi ya Chelsea.

Mchezo wa fainali utachezwa baada ya siku 10 kuanzia sasa, na bado hakuna uhakika kama mshambuliaji kinara wa kufunga ambaye anashika namba mbili kwenye klabu hiyo atakuwa sawa.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa