Mshambulia wa klabu ya Liverpool Divock Origi amekubaliana maswala binafsi na klabu ya AC Milan japokuwa hakuna mkataba wowote aliyosani wala kufanyiwa vipimo vya afya vilivivyofanyika mpaka sasa.

Divock Origi amekosa nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye klabu ya Liverpool, ambapo amefanikiwa kuanza kwenye michezo miwilli tu ndani ya miaka miwili, huku msimu wa mwaka 2017-18 alipelekwa kwa mkopo kwenye klabu ya Wolfsburg.

Divock Origi
Divock Origi

Japokuwa Origi amekuwa akifurahia vipindi bora kwenye klabu ya liverpool katika maisha yake ndani ya dimba la Anfield, na kuacha alama ambayo haitasahaulika kwa kuifunga Barcelona magoli mawili kwenye mchezo wa nusu fainali ambapo ni moja ya “come back” bora zaidi kwenye maisha yake ya soka mwaka 2019 kwenye uwanja wa Anfield.

Origi ambaye mkataba wake unakwenda kuisha majira ya kiangazi, kuondoka kwake huru kutaifanya klabu ya Liverpool kutopata pesa yoyote kwenye uhamisho wake.

Hadi sasa klabu ya liverpool imefanikiwa kuchukua makombe mawili ya Carabao Cup na FA Cup, huku wakifanikiwa tena kucheza fainali ya ligi ya mabingwa ulaya na kwenye ligi kuu wakiwa alama moja nyuma ya Man City ambapo wamebakiwa na mchezo mmoja kila mmoja.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa