Bingwa mara tano wa Tour Final, Novak Djokovic ametinga nusu fainali ya michuano ya Italian Open kwa ushindi wa seti  ya moja kwa moja dhidi ya Felix Auger-Aliassime mjini Rome katika ushindi wake wa 999 wa maisha ya Mserbia huyo.

 

djokovic, Djokovic Apata Ushindi wa 999 Italian Open., Meridianbet

Djokovic mara ya mwisho alishinda shindano hilo mnamo 2020, akiendelea na maandalizi ya French Open kwa kushinda 7-5 7-6 (7-1) dhidi ya mpinzani wake wa Canada.

Djokovic atamenyana na Casper Ruud kuwania nafasi ya kutinga fainali baada ya Mnorway huyo kumshinda Denis Shapovalov 7-6 (9-7) 7-5 mapema Ijumaa.

Stefanos Tsitsipas atakutana na mshindi wa 2017 Alexander Zverev katika nusu fainali nyingine kufuatia ushindi wao dhidi ya watoto wa nyumbani Jannik Sinner na Mchile Cristian Garin.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa