Mchezaji wa Tenisi namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic ameandikisha ushindi wake wa 1000 katika maisha yake ya mchezo huo na kutinga fainali ya Italian Open.

Djokovic amepata ushindi mbele ya mchezaji namba 10 kwa ubora Ruud, na kusonga mbele kwa seti ya 6-4 6-4 na atachuana katika fainali itakayopigwa leo.

 

djokovic, Djokovic Atinga Fainali ya Italian Open, Ushindi wa 1000., Meridianbet

“Shukrani kwa mashindano na umati wa watu kwa kusherehekea hatua hiyo muhimu pamoja nami,” Djokovic alisema.

“Ni wazi nimeona Roger na Rafa wakisherehekea hatua hizo muhimu katika miaka michache iliyopita. Nilitazamia kufikia hapo mimi pia. Hakika, nimebarikiwa sana kuwa na ushindi mwingi katika ziara hiyo.

“Imekuwa muda mrefu, tangu nilipocheza mechi yangu ya kwanza, tangu niliposhinda mechi yangu ya kwanza kwenye ziara hiyo. Ninatumai nitaendelea kushinda.”

Djokovic atacheza na mchezji namba 5 kwa ubora duniani Stefanos Tsitsipas, ambaye alitinga fainali ya Italia Open kwa mara ya kwanza baada ya kumshinda Alexander Zverev kwa seti 4-6, 6-3, 6-3 katika nusu fainali ya ufunguzi.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa