Djokovic Atinga Nusu Fainali ya Australia Open

Mchezaji namba moja kwa ubora Duniani kwa mchezo wa Tennis Novak Djokovic, ameingia nusu fainali ya Grand Slam ya kwanza ya msimu wa mwaka 2021 (Australian Open) .

Baada ya upinzani mkali kutoka kwa kijana wa Kijerumani Alexander Zverev ambaye anashika namba 7 ya ubora duniani, ilimchukua mwamba huyo wa Serbia masaa 3 :29 kushinda kwa seti 3-1 ambapo alipoteza seti ya kwanza kwa tie-break (7, 6) na kushinda (6,4 6,2 7,6).

Sasa Djokovic anakutana na Aslan Karatsev ambaye anashika nafasi ya 114 katika ubora huko yeye akiwa namba 1. Karatsev ameingia nusu baada ya kumtwanga majeruhi Grigor Dimitrov kwa seti 3-1.

Aslan Karatsev

Mrusi huyo ameingia kwenye rekodi kuwa mchezaji wa 5 ambaye alipitia kwenye mchujo na baadae kufika nusu fainali. Huku Djokovic akifikia nusu fainali yake ya 9 ya Australian Open.


WEWE NI SHUJAA? MASHUJAA WANASHINDA HAPA!

Treasure Heroes inakupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

Kasino ya Mtandaoni

INGIA MCHEZONI

10 Komentara

    Vizuri

    Jibu

    Habar njema kwa mashabik

    Jibu

    Hongera kwake.anarudi kwenye kiwango chake. Kuna uwezekano akashinda.

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Hongera sana Djokovic

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Congrats

    Jibu

Acha ujumbe