Mchezaji wa Tenisi namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic amefungukuka amekumbuka kurejea uwanjani kucheza mchezo huo ikiwa imepita mwezi mmoja tangu azuiwe kuingia Australia.
Djokovic alishuhudia Visa yake ikifutwa mara mbili na serikali ya Australia kutokana kutochanja chanjo ya Covid-19 wakati alipoenda kushiriki mashindano ya Australian Open mwaka 2022.
Djokovic wiki hii amethibitish akuendelea na msimamo wake wa kutokukubali kuchanjwa na ataendelea kukosa mashindano yoyote endapo wachezaji wasio chanjwa hawataruhusiwa kushiriki.
Hatua hiyo inamfanya mchezaji huyo kukosa mashindano yajayo ya French Open yatafayo fanyika mwezi wa 5 na atakosa nafasi ya kujihakikishia mlango wa kuingia Gland Slam ya 21 ya Wimbledon itakayofanyika mwezi wa 6.
Novak anatarajiwa kushiriki mashindano ya tenisi Dubai ambako serikali ya nchi hiyo hazuii wachezaji ambao hawajachanjwa kushiriki michuano hiyo.
Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.