Docherty Aaga Dunia Akiwa na Miaka 92.


 

Meneja wa zamani wa Manchester United na Scotland, Tommy Docherty amefariki akiwa na miaka 92 kutokana na Maradhi ya muda mrefu.

Docherty amevifundisha vilabu vingi ikiwemo Manchester United, Chelsea, Aston Villa na Derby, pia timu ya taifa ya Scotland. Mchezaji huyo wa Preston aliisaidia United kushinda FA Cup dhidi ya Liverpool mwaka 1977.

 

RIP Tommy Docherty

Docherty aliyejulikana kama ‘The Doc’ alidumu katika nafasi ya ukocha kwa miaka 27 huku akifundisha vilabu 12 katika muda huo ikiwemo Chelsea, Manchester United, Aston Villa na Derby.

Tommy amefariki nyumbani kwake North-West jana December 31, 2020.

“Tommy amepumzika kwa amani, akiwa amezungukwa na familia yake nyumbani.

“Alikuwa mume bora, baba na baba atakumbukwa sana. Tunaomba faragha iheshimike katika kipindi hichi. Hakutakuwa na maoni zaidi.” alisema msemaji wa familia

 


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

16 Komentara

    R.I.P docherty

    Jibu

    R.I.P docherty

    Jibu

    RIP

    Jibu

    Duh pumzika kwa amani

    Jibu

    R.l.p

    Jibu

    Apumzike kwa amani atakumbukwa Sana

    Jibu

    R.i.p

    Jibu

    Apumzike kwa amani

    Jibu

    R.l.p

    Jibu

    mbele yake nyuma yetu

    Jibu

    Rest well

    Jibu

    Rest well

    Jibu

    Mungu ampumzishe mahara pema pepon

    Jibu

    Rip legend

    Jibu

    R.I.P

    Jibu

    Rip

    Jibu

Acha ujumbe