Drogba Ampa Heshima Demba BA.


Nyota wa zamani wa Chelsea na Timu ya taifa ya Ivory Cost, Didier Drogba amempongeza mchezaji wa Instanbul Basaksehir, Demba Ba baada ya tukio la ubaguzi wa rangi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa.

Mchezo wa Ligi ya Mabingwa kati ya Paris Saint Germain dhidi ya Istanbul Basaksehir ulisimamishwa dakika ya 14 baada ya kamishna wa mechi Sebastian Coletescu kutoa lugha ya kibaguzi dhidi ya kocha msaidizi wa Istanbul Basaksehir, Pierre Webo.

 

Demba Ba aliingilia kati ya kumashihisha kamisha huyo huku akitoa maneno ya kusawazisha sakata hilo. Baada ya tukio hilo Drogba alimpongeza mchezaji huyo kwa kupinga ubaguzi wa rangi na kutetea usawa.

Aliyekuwa raisi wa CAF Ahmad Ahmad amesema Demba BA ni mfano wa kuigwa na anaweza kusimamia thamani ya rangi nyeusi.


MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!

Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!

SOMA ZAIDI

23 Komentara

    Demba BA amefanya vizuri

    Jibu

    Aendelee na moyo huo huo

    Jibu

    Drogba amefanya vizuri kumpa pongezi demba ba kwa alichokifanya

    Jibu

    Good

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    Ni mapambano magumu sana juu ya ubaguzi wa Rangi

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Good

    Jibu

    Saf

    Jibu

    Demba ba moto

    Jibu

    aendelee na moyo huo huo

    Jibu

    saaf

    Jibu

    Si rahisi kumaliza tatizo la ubaguzi duniani kila siku huja aina fulani ya ubaguzi duniani

    Jibu

    Drogba hanaga mambo ya kufinya

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Nice

    Jibu

Acha ujumbe