Mshabuliaji wa zamani wa Chelsea, Didie Drogba amewahi kupigwa na mshangao kutoka kwa kijana wake Isaac baada ya kumuuliza swali la mchezaji gani amekuwa akimpenda.
Drogba anadai wakati anacheza mpira aliwahi kumuuliza kijana wake ni mchezaji gani ambaye anampenda? Isaac alimjibu Jesse Lingard wa Manchester United.
Drogba anasema alishangaa sana mwanae kumtaja Lingard, nilijua atanitaja mimi nikawaza dunia yenye Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Eden Hazard alimtaja vipi Lingard?
Kuna wakati pia niliwahi kumuuliza ni mchezaji kwako bora EPL akanijibu Thierry Henry, alipomtaja ni sawa kwakua Henry ni moja wa wachezaji bora.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???
Hopemwaikuka
Isaack anajua nan anajua ndo maana
Sarah
Isaack Yuko vizuri
Tatu
Dogo yupo vizuri
Shakila mrope
Dogo yuko nakujionyesha
Lydia Emmanuel Magoti
Dogo yupo vyema
Fatuma kasomo
Safi yupo vizuri
Adelta
Mtoto wa nyoka ni nyoka
Mwanahamisi
Safi sana
Caroline
Ni moyo wake tu umempelekea
Theonestina
Dogo yupo vizur
Saupha mohamed
Jamaa anajja
Issa
Mfalme darajan
warda
Kila mtu na mapenzi yake
Rahmal
Dogo Yuko poa
Chiku
Dogo hana shoo mbovu