Droo Klabu Bingwa Afrika 30 April 2021.


 

Droo ya Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika itakayofanyika April 30, 2021, Klabu ya Simba inaweza kukutana dhidi ya Cr Belouizdad, Kaizer Chiefs au MC Alger.

Vilabu Hivyo vitatu ndivyo vilivyoshika nafasi ya pili katika Kundi B, C na D. Na klabu ya Simba itaanzia ugenini katika mchezo wa kwanza wa raundi ya robo fainali na itamalizia nyumbani katika mchezo wa pili kwenye hatua hiyo ambayo itapigwa kuanzia Mei 14.

Vilabu 8 vilivyotinga hatua ya Robo fainali ya Michiano ya Klabu Bingwa Afrika msimu wa 2020-21.

🇹🇿 Simba SC
🇪🇬 Al Ahly
🇿🇦 Mamelodi Sundowns
🇩🇿 CR Belouizdad
🇲🇦 Wydad AC
🇿🇦 Kaizer Chiefs
🇹🇳 ES Tunis
🇩🇿 MC Alger


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

CHEZA HAPA

3 Komentara

    Kila la kheri Simba

    Jibu

    Mashabiki tunawatakia Kila la kheri

    Jibu

    Kwakeli naiona fainal kwa Simba inanukia

    Jibu

Acha ujumbe