'Dyabala Anaweza Kucheza na Ronaldo na Morata'

Andrea Pirlo amesema Paulo Dybala anaweza kucheza na Cristiano Ronaldo na Alvaro Morata na kuweka wazi zaidi kwanini anamchukulia CR7 ‘kama Frabotta au Portanova’.

Juventus atakabiliana na Ferencvaros kesho kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa na ushindi unaweza kumruhusu Bibi Kizee wa Italia kufuzu kwenda hatua ya 16 bora akiwa na mechi mbili mkononi, ikiwa Dynamo Kiev haitaifunga Barcelona.

Juve ilishinda dhidi ya Cagliari 2-0 Jumamosi, na hii ni nafasi ya kuendeleza ushindi kwao. Hata hivyo, mechi hii si rahisi sana kwa kuwa pande zote mbili zimejiandaa vyema.

“Lazima tuendelee na namna yetu, hatukufanya chochote Jumamosi, ulikuwa mchezo mzuri tu, lazima tuwe na mwendelezo au tusingekuwa timu kubwa, sisi ni Juventus”

“Lazima tuingie uwanjani kama ilivyokuwa fainali, tunahitaji ushindi ili kupata kufuzu. Lazima tuweze kuiruhusu wachezaji wengine kupumzika katika michezo inayofuata”

Katika kusistiza mipango yake na kikosi chake, amemesema Dybala yupo tayari, na anatazamia kuangalia kama anaweza akaanza. Ila yupo tayari. Alivyoulizwa juu ya uwezekano wa kusuka safu yenye Dyabala, Ronaldo na Morata, amesema wakiwa mazoezini mambo huenda poa, kwa bahati mbaya hawajawahi kuanza pamoja.

Unafikiri kwa upande wako inakaaje, hapa Dybala, pale Ronaldo na Morata?

 


Usichelewe Kukamata Mkwanja Huu!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

15 Komentara

    Hapo ni maamuzi ya kocha Babu pirlo kuwachezesha pamoja wawil Kama role striker na paul dyabala Kama role na 8 kuweza kuwalisha mipira mafowadi hao ngoj tuone Kama mfumo huo utafanikiwah kuleta positive result kwa juventus kibibi cha turin katika mchezo wa kesho zid ya wababe wa kiev dyanamo kiev hapo kesho dk 90 zitatupa matokeo kufel au kufaul kwa Babu andres pirlo hyo kesho

    Jibu

    Dyabala amekuwa imara sana pirlo anatakiwa ampe nafasi aonyeshe kiwango chake zaid afikie anga za kina mess

    Jibu

    dyabala amekuwa na wakati mzuri awapo mchezoni sababu anazidi kupata uzoefu zaidi wa kufanya vizuri zaidi

    Jibu

    Makala bomba

    Jibu

    Akifanya hivyo anavyofikiria kosa safii inawezekana kuleta matokeo chanya kwa kweli nasubiri kuona muongozo wake

    Jibu

    Dyabala yuko vizuri

    Jibu

    Dyabala yupo vizuri anajua

    Jibu

    Dyabala yupo vizuri

    Jibu

    Asnt kwa taarif meridianbet

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Inawezekana tu

    Jibu

    Dyabala anafanya poa

    Jibu

    Namkubali sana yuko sana

    Jibu

    Dyabala yuko vizuri

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

Acha ujumbe