Dyabala na Morata Wafanyiwa Vipimo

Paulo Dyabala na Alvaro Morata waliwasili kituo cha J medical kufanyiwa vipimo baada ya kupata mejeraha katika mechi ya jana.

Wote walitolewa uwanjani baada ya kupata mejeraha ya misuri katika mechi dhidi ya sampodoria  jumapili, ambapo mechi iliisha kwa juventus kushinda kwa 3-2, na magoli hayo yalifungwa na Paulo Dyabala, Leonardo Bonucci na Manuel Locatelli.

Massimiliano Allegri amethibitisha kuwa Morata na paulo watakuwa nje ya uwanja katika mechi mbili zinazokuja ambazo watakutana Chelsea kwenye ligi ya mabingwa  na ile ya Serie A watakayo kutana na Torino.

Morata na paulo waliwasili mapema asubui ya leo ili kuweza kufanyiwa vipimo na kuweza kujua watakuwa nje kwa muda gani, morata na dyabala wote wameifungia magoli sita kila mmoja msimu huu.


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe