Edin Dzeko amefanyiwa vipimo leo baada ya kupona kutoka kwa COVID, na kusema kuwa “Niko sawa na nimefurahi yamekwisha.”
Edin Dzeko alipatikana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID wiki mbili zilizopita baada ya kufanyiwa vipimo.
Kulingana na taratibu za Serie A, ilibidi afanyiwe uchunguzi wa kitabibu kabla ya kuanza tena mafunzo na wachezaji wenzake wote kwenye timu.
Baada ya vipimo kufanyikia pale Villa Stuart ya Roma alisema: “Ninajisikia vizuri na nimefurahi kuwa yote yamekwisha,”
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester City anaweza kuanza kucheza wikendi ijayo dhidi ya Napoli na huenda akajumuishwapia kwenye kikosi cha Roma kitakachomenyana na Cluj kwenye mechi ya Europa League Alhamisi
Dzeko, mwenye miaka 34, ana mabao matatu na asisti moja katika michezo saba ya mashindano yote hadi sasa msimu huu.
Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.




magdalena
afadhali kijana rudi uwanjani uendelee kupiga mpira
Angelina
Good news
Sauda
Bora arudi aendelee kukipiga.
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana ngoja aludi kwenye kazizake kiungo huyo
Aziza mushi
Habari njemaa.
Ester jackson
Safii karibu tena kambini
Caroline
Good news.pole Sana kwa maradhi
Tatu
Habari nzuri
Issa
Covid imekua tatizo
Janeflora malisa
Saf
Sania
Vizur kama afya imeimarika
Saupha mohamed
Safi sana
Hopemwaikuka
God is good
Fatuma kasomo
Habari zuri kwake
Povel
Nice update
Adelta
Habari nzuri
aisha
Ni jambo la maana sana kushukuru
Fatina mfingi
Safi sanaa
Rahma
Habali nzuli
Mwajumah
Safi karibu tena kambini
warda
Habali nzuri sana