Shirikisho la Soka Nchini Misri “EFA” limetangaza kuwa makipa wa kigeni (Wasio raia wa Misri) bado hawataruhusiwa kusajiliwa katika Daraja lolote la ligi huko Misri.

Mwezi uliopita tu, EFA ilitangaza kwamba kila timu inaweza kusajili wachezaji watano wa kigeni kwenye kikosi, bila kujali nafasi, ikiruhusu kurudi kwa makipa wa kigeni kwa mara ya kwanza tangu 2009.

 

EFA, EFA Yaendeleza Zuio la Makipa wa Kigeni., Meridianbet

Uamuzi huo ulikabiliwa na ukosoaji kutoka kwa makocha kote Misri kwani utazuia maendeleo ya Wachezaji wa eneo hilo.

Baada ya majadiliano, EFA wamefuta uamuzi wao, Na Sasa wakiruhusu wachezaji watano wa kigeni kwenye kikosi kwa kila timu kwenye Ligi Kuu isipokuwa kipa, wawili tu katika Timu Shiriki Daraja la pili, na mmoja tu katika Vilabu vya daraja la tatu.


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

EFA, EFA Yaendeleza Zuio la Makipa wa Kigeni., Meridianbet

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa