Mamlaka za Ligi ya Primia na EFL, wamekubaliana mpango wa kuvilipa vilabu £250m kwa ajili ya kuvisaidia kujikwamua kwenye changamoto za kiuchumi ambazo zimepitia kutokana na janga la kidunia lililoathiri sekta ya michezo kama sekta nyingine nyingi.

Vilabu vya Championship vina nafasi ya kupata mkopo wa hadi £200m bure, bila masharti wala riba. Wakati msaada wa £50m ukiandaliwa kwa ajili ya kuvisaidia vilabu vya Ligi Daraja la Kwanza na Pili.

Mikopo kwa vilabu vya daraja la pili itafungwa kwa pauni milioni 8.33 na italazimika kulipwa kufikia Juni 2024.

Mwenyekiti wa EFL Rick Parry alikaribisha azimio hilo baada ya majadiliano marefu.

“Lengo letu kwa muda wote katika mchakato huu limekuwa ni kuhakikisha kwamba vilabu vyote vya EFL vinaweza kumudu athari za kifedha za janga hilo”

Mashabiki tayari wameanza kurejea kwa asilimia kadhaa viwanjani wiki hii baada ya kufungwa kitaifa kwa huku Uingereza ikiamua kubadilishwa na mfumo wa upambanaji na corona.

Hata hivyo, mahudhurio yanahitajika kuzingatia umbali wa mashabiki na kufuata hatua za za msingi za kujikinga, vilabu havitarajiwi kama vinaweza kupata faida kwa idadi hiyo ya mashabiki.


 

FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

EFL, EPL na EFL Wakubaliana Kuvilipa Vilabu £250M, Meridianbet

INGIA MCHEZONI

26 MAONI

  1. Ni habar njema kwa vilabu vya EPL na EFL kupata pesa ambayo inawez kuvisaidia katika vilabu katika kuwalipa wachezaj na kufany usajili katika kipind cha January ukiangaliah kipind hich cha covid 19 vilabu vingi baran ulaya vimeshuka kiuchumi hvy FA kitendo cha kuwapa fedha vilabu vya EPL na EFL itakuwah imewasaidia kiasi fulan kuwatiwah katika Hali ya ukata katika kipind cha msimu na majanga la covid 19

  2. Mashabiki tayari wameanza kurejea kwa asilimia kadhaa viwanjani wiki hii baada ya kufungwa kitaifa kwa huku Uingereza ikiamua kubadilishwa na mfumo wa upambanaji na corona.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa