EPL: Salah na Tuchel Wasepa na Tuzo

Ni utamaduni wa kawaida kwenye mchezo wa soka kuwapongeza wachezaji na makocha waliofanya vizuri kwenye mwezi husika. EPL wameendelea walipoishia.

Mohamed Salah (Liverpool) na Thomas Tuchel (Chelsea) wameibuka kidedea kwenye tuzo za mchezaji na kocha bora wa EPL kwa mwezi Oktoba.

Salah yupo kwenye kiwango bora kwa sasa akiwa amefanikiwa kupachika magoli 5 na kutoa pasi 4 za magoli kwenye michezo 4 ya ligi mwezi Oktoba.

Tuchel ameiongoza Chelsea kwenye michezo 4 wakati The Blues wakipata magoli 14 huku wakiwa hawajaruhusu goli lako kuguswa kwenye michezo 3.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe