EPL, Zinazokiki Kwenye Press Conference.

English Premier League [EPL] kuendelea wikiendi hii. Ni desturi kwa makocha kufanya mikutano na waashindi wa habari kabla na baada ya mchezo.

Vilabu mbalimbali vimeanza kufanya mikutano na waandishi wa habari. Unataka kujua nani wa kumfuata kwenye EPL wikiendi hii? Hizi hapa, zinazokiki kwenye vikosi.

Dean Smith amethibitisha kumkosa Christoph Zimmerman kwenye mchezo dhidi ya Wolves. Pamoja na kukosekana kwa mchezo huyo, (Kieran) Dowell na Sargent wapo vizuri kuelekea kwenye mchezo huu. Smith anatarajia kupata alama muhimu licha ya kiwango bora cha Wolves.

Kule Goodison Park, Richarlson atakosekana kwenye mchezo dhidi ya Brentford wakati huu ambao, Abdoulaye Doucoure amesharejea mazoezini na anauwezekano mkubwa wa kucheza mchezo huo.

Baada ya kukosa mchezo dhidi ya Brentford wikiendi iliyopita, Eddie Howe atakua uwanjani wikiendi hii watakapochuana na Arsenal. Huu utakua mchezo wa kwanza kwa Howe akiwa kama kocha mkuu wa Newcastle United.

Wachezaji wawili wenye historia na heshima kubwa kwenye EPL, sasa hivi ni makocha. Ni Patrick Viera vs Steven Gerrard wikiendi hii. Ule upinzani wa Arsenal vs Liverpool utaonekana kwenye mchezo huu?

Jurgen Klopp “Man United watapangika” . Ni uhalisia kuwa Rangnick ni miongoni mwa makocha wanaoheshimiwa sana nchini Ujerumani. Rangnick anahusishwa na kutua EPL, akiwa kama kocha wa muda wa Man United. Klopp amewadokeza mashabiki wa United ni kocha wa namna gani wanaelekea kumpata. Kwa ufupi, Klopp anamuhusudu Rangnick na anasema, hii sio habari njema kwa vilabu vingine kwenye ligi hiyo.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe