Mlinzi wa Tottenham, Eric Dier ametofautiana na meneja wake Jose Mourinho kuwa kulikuwa na changamoto kwenye safu ya ulinzi kwa kukosa hamasa.
Mourinho alimtaja Eric Dier kama mfano wa wachezaji wake waliokuwa na shida ya kujiamini. Kocha huyu wa Spurs alisema hilo baada ya mechi waliyoshinda 2-0 dhidi ya West Brom mwanzoni mwa mwezi huu, mechi ambayo Dier alikuwa sabu bila kutumika.
Nyota huyu ambaye sasa amerejea kwenye kikosi kinachoanza cha Spurs kwa takribani mechi nne mfululizo na anasema, suala la kutoajiamini sio sawa kwa upande wake msimu huu.
“Kwa suala la kijiamini, nadhani nimekuwa kwenye sehemu mbaya tu msimu huu wote. Kuna vipindi nilipitia na nilikuwa kweli nina kiwango cha chini sana cha kujiamini huko nyuma hivyo naelewa huwa inakuwaje unapokosa kujiamini na sijahisi hivyo msimu huu.”
Nyota huyu amesema kwa asilimia kubwa anajiona kama amekuwa na furaha sana msimu huu, na hadhani kama suala la kutojiamini limemuathiri kwa namna yeyote msimu huu.
TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET
BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.
Wakaye chini waelewane tu
Kawaida Sana
Kutofautiana ila sio poa kabisaa.waelewane tu
Ataozea bench mpaka aombe po! Kazi ya kocha ni kuona wachezaji wanazingatia maelekezo yake
Mnatakiwa malizane tofauti zenu
Nice
Safii
Wake ili wayamalize
Vzur
Ukipishana na Mourinho tu anakuhamisha