Erik ten Hag Akana Kujiunga Barcelona

Meneja wa Ajax, Erik ten Hag amekanusha kuhusishwa na miamba ya La Liga Barcelona, ​​kipindi ambacho kuna shinikizo kubwa kwa bosi wa sasa wa Barca Ronald Koeman.

Wana wa Camp Nou wameshinda michezo miwili tu kati ya mitano ya ufunguzi wa msimu huu kwenye mashindano yote.

Fomu yao ya sasa imesababisha kuongezeka kwa wasiwasi kwa uongozi wa Barca, ambao sasa wanasemekana wanakusanya pauni milioni 10 zinazohitajika kumlipa Mfaransa huyo ikiwa watamfuta kazi, na wanapanga maisha bila mchezaji wao wa zamani.

Eric ten Hag

Kutokana na seke seke hilo, Erik ten Hag alianzwa kutajwa kuhusishwa na kibarua cha Koeman, na haraka meneja huyu ameamua kukanusha uvumi juu ya nafasi hiyo.

Ten Hag ambaye aliwasaidia wababe wa Amsterdam kufika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa katika kampeni za 2018-19, pia anatajwa kuwepo kwenye mchaka mchaka pale Ajax, akiiongoza timu hiyo kushinda mataji mawili ya Uholanzi


FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe