Christian Eriksen amesisitiza kuwa hakuna kitu cha kumzui kururudi kwenye ubora wake hata baada ya kupata matatizo ya moyo aliyoyapata kwenye mashindano ya Euro lakini hayata mzuia kurudi kwenye ubora wake.

Eriksen, ambaye amejiunga na Brentford baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na klabu yake ya Inter Milan kwasababu sheria za nchini Italia haziruhusu mchezaji yeyote aliyefanyia upandikizaji wa kitu chochote kwenye moyo kucheza kwenye ligi hiyo.

Eriksen

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Denmark mwenye miaka 29 kwa sasa ni mchezaji halali wa Brentford mpaka mwisho wa msimu na wakati akihojiwa na BBC Sport alipoulizwa kuhusu kurudi kwenye ubora  au kubadiri aina ya uchezaji wake alijibu, “kuna ukweli hapa,  sitabadili style yangu ya kucheza.”

“Kurudi kwenye ubora wa awali ni tafanya chochote ili niweze kurudi kwenye ubora wangu, nilikuwa na muda wa kujiweka sawa kwa miezi sita, juenda sasa niko vivuri kuliko awali, najihi kwa sina sababu ya itayomifanya nisirudi kwenye ubora wangu.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa