Timu za Espanyol na Real Mallorca ambazo zilishuka daraja msimu uliopita, zimekata tiketi ya kushiriki Ligi kuu Hispania (La Liga) tena kwa msimu wa 2021/22.
Real Mallorca wao chini ya kocha wa zamani wa Villareal, Luis Garcia, walikua na rekodi binafsi msimu huu ya kucheza mechi 17 bila kupoteza.

Hii ni mara ya tatu tu tangu mwaka 1990 timu mbili kushuka na kupanda tena kwa pamoja msimu unaofuata katika La Liga.
Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.