Everton: Wamtangaza Duncan Ferguson Kuwa Kocha wa Muda

Klabu ya Everton imemtangaza Duncan Ferguson kuwa kocha wamuda ambaye ataiongoza kwenye michezo ijayo wakati wanatafuta mtu wa kuweza kuchukua mikoba iliyoachwa na Benitez.

Everton wananwakaribisha Aston Villa kwenye mchezo wa ligi kuu jumamosi hii, kabla ya kwenda kuvaana na Brentford kwenye kombe la FA Cup mzunguko wa nne tarehe 5 February, kisha watasafiri tena kwenda kukutana na wenzao ambao wanapambana kutoka chini ya msimamo Newcastle United wikiendi itakayofuata.

Walaka wa klabu waliotoa wa kumtammbulisha ulieleza, “mchezaji wa wetu wa zamani atasimamia mazoezi kwenye uwanja wa USM Finch Farm kuanzia leo Jumanne, na wachezaji wataanza maandalizi ya kuwakaribisha Aston Villa kwenye dimba la Goodison Park jumamosi.”

Klabu imesema kuwa itamtangazi kocha mpya ambaye ataiongoza klabu hiyo, itafanya maamuzi hivi karibuni.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe