Klabu ya Everton inayonolewa na kocha Carlo Ancelotti jana imevunja rekodi iliyodumu kwa miaka 22 baada ya kuifunga Liverpool 2-0 katika dimba la Anfield.
Toffees imefanikiwa kupata ushindi kwa mara ya kwanza katika Dimba la Anfield baada ya miaka 22 kupita katika dabi ya Merseyside.
Klabu ya Everton imefanikiwa kushinda kwa mara ya kwanza kwenye uwanja wa Anfield dhidi ya Liverpool mara ya mwisho ilikuwa 1999.
Kwa sasa Liverpool imefungwa mechi nne mfululizo kwenye uwanja wake wa nyumbani kwa mara ya kwanza na kuvunja rekodi iliyowekwa mwaka 1923.
Klabu hiyo kwa sasa inashika nafasi ya 6 wakiwa na alama 40 sawa na Everton ambao wanashika nafasi ya 7 huku wakiwa na mchezo mkononi.
Treasure Heroes inakupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!
Carlo kocha mnzur sana
Ilkua bahat kwao
Everton wako vizuri
Nice
Vizuri wanastairi pongez
Hongera sana Everton
Liver hakuna kitu sasa hivi
Rekod ya kibabe