Kwanini Federico Chiesa Amewakataa Liverpool?

Federico Chiesa aliripotiwa kukataa nafasi ya kuhamia Liverpool kwa mkataba wa £60m ili kusaini Juventus.

Mshindi huyo wa Euro 2020 yuko katika mkataba wa pili wa mkopo wa miaka miwili na Juventus kutoka Fiorentina, huku Juve akitarajiwa kupata huduma yake ya kudumu kwa msimu ujao wa joto.

Chiesa alivutia vilabu vya nje ya Italia wakati wake na Fiorentina, na Liverpool walitajwa kuwa na makubaliano na Viola kabla ya mshambuliaji huyo kuchagua kuelekea Turin.

Kwanini Federico Chiesa Amewakataa Liverpool?
Federico Chiesa


kwa mujibu wa mwanahabari Niccolo Ceccarini alisema: “Fiorentina walikuwa wamefikia makubaliano na Liverpool kwa euro milioni 70 (£60m), lakini mazungumzo hayo hayakufanikiwa kutokana na staa huyo kutaka kwenda Juventus.”

Tangu wakati huo Federico Chiesa amefunga mabao 17 na asisti 13 katika mechi 59 alizoichezea Juve, ikijumuisha mabao matatu na asisti tatu katika mechi 16 za michuano yote msimu huu.

Staa huyo mwenye umri wa miaka 24 anaendelea kuhusishwa na kuhamia kwingine, ingawa, Chelsea inasemekana kupanga dau la £84m mnamo 2022.


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.