Bruno Fernandes, Nahodha wa Manchester United amesema kuwa kila mchezaji alipoteza furaha baada ya kichapo mbele ya Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu England.
Ikiwa Uwanja wa Old Trafford ubao ulisoma Manchester United 2-4 Liverpool na kuwafanya waache pointi tatu zikisepa na wapinzani wao.
Fernandes amesema kuwa walijipanga kupata ushindi ila mambo yakawa magumu kwao.
“Ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo kila mchezaji hakuwa na furaha na hatujafurahi kweli kufungwa ila hakuna namna.
“Wametumia makosa yetu na tumeona makosa yetu tutajifunza kupitia makosa,”.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Ni jambo la kushangaza kuruhusu magoli mengi mno kiasi kile
Poleni Sana huo ni mpira
Poleni ila msikate tamaa jipangeni upya
Poleni sana
Pole yake
United wanazingua sana
Pole yao
Bora wamejutia makosa
Poleni Sana hii ndio mpila
Polee
Pole yao
Ndo mpila.
Safiii
Poleni sana
Wamefungwa Kwa uzembe
United mmeboa
Duuuh
Poleni sana