Kuelekea mchezo wa marudiano kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa, nahodha wa Man City, Fernandinho ametangaza wazi kuondoka kwake mwishoni mwa msimu huu.

Habari hii ni mpya masikioni mwa mashabiki na uongozi wa City ambao kwa muda, umeripotiwa ukiwa kwenye mpango wa kufanya mazungumzo ya mkataba mpya na nahodha wao.

Fernandinho anaona huu ni wakati sahihi kwake kuondoka klabuni hapo akiwa bado analengo la kuendelea kucheza soka lakini, anataka kurejea nyumbani – Brazili ili kufanikisha hilo baada ya kuitumikia City kwa miaka 9.

Hili ni jambo jipya hata kwa Pep Guardiola ambaye nae ameshtuka kusikia taarifa hii ambayo amekiri hakuwa anafahamu chochote kuhusu hili lakini, atamuuliza nahodha wake kama alichokisikia ni kweli.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa