Fiorentina Inamtaka Mshambuliaji wa Celta Vigo

Ripoti kutoka Uhispania zinaonyesha kuwa Fiorentina wameweka macho yao kwa mshambuliaji wa vijana wa Celta Vigo Miguel Rodriguez.

 

Fiorentina Inamtaka Mshambuliaji wa Celta Vigo

Kulingana na Mundo Deportivo, kinda huyo mwenye umri wa miaka 20 anafanya mazungumzo ya kusaini mkataba mpya na klabu yake ya sasa, lakini Fiorentina inatumai kumnasa na kumwinda kwa bei nafuu.

Hili linawezekana kwa sababu mkataba wake unaisha tu hadi mwisho wa kampeni ya sasa.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Fiorentina Inamtaka Mshambuliaji wa Celta Vigo

Rodriguez ni mchezaji mwenye uwezo wa kushambulia, anayeweza kufanya kazi kama mshambuliaji wa kati, upande wa kulia au wa kushoto.

Ana mabao matatu katika mechi tano alizoichezea Uhispania akiwa chini ya umri wa miaka 19 na msimu uliopita alifunga mabao nane kwa kutoa pasi mbili za mabao katika mechi 27 alizocheza kwa akiba Celta Vigo.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Fiorentina Inamtaka Mshambuliaji wa Celta Vigo

Kinda huyo alicheza mechi saba kwenye kikosi cha wakubwa Celta Vigo na aliweza kufunga dhidi ya Sevilla.

Acha ujumbe