AC Milan wameonyesha nia ya kumsaini kiungo wa Burnley, Jeff Hendrick kwa uhamisho wa bure.
Hendrick, amecheza mechi 54 kwa Jamhuri ya Ireland, kwa sasa mkataba wake unamalizka majira ya kiangazi na bado mazungumzo ya kuongeza mkataba na klabu ya Premier League hayajafikiwa.
Milan wanahusishwa kumwania Hendrick kipindi hiki cha Corona na kwasasa wanaangalia uwezekani wa kumyakua katika dirisha lijalo la usajili.
Miamba hiyo ya Serie A, tofauti na wapinzani wao, wameonekana sana wakipendelea wachezaji wa kingereza miezi ya karibuni walihusishwa kumnyakuwa beki wa Wigan, Antonee Robinson mwezi Januari.
Vilabu vingi vya Premier League vimeonyesha nia ya kumsaini Hendrick, ambae amekuwa muhimili mkubwa katika kiungo ya kocha Sean Dyche.
Frank Patrick
Kama kiwango chake kiko stable team za EPL hawawezi kumuacha aende league nyingine
Khadija
Hendrck ni mchezaji mzuli sana#meridianbettz
Neema juma
Unaweza ukamuona mtu ukamchukulia poa poa kumbe anatisha. Kijana makini sana Jeff Hendrick.
aisha
Hendrick yuko vizuri sana
Devotha
Jeff ni mchezaji mzuri
Salma
Kiungo anatumia vizuri akili yake
Theckla
Hendrick ni mchezaji anajielewa sana
Hope mwaikuka
Anajitambua sana
Ernest
Hendrick Bonge la mchezaji
Rehema
Hendrick ni kiugo mzuri sn
Elika
Je watafanikiwa kweli kumnyakua Hendrick katika hilo dilisha dogo..ngoja tuone
Antony Luseno
Nia inaweza ikawepo lakini mwisho wa siku wakampata mbadala wake
Tahiya
Vilabu vingi vya premiers league imeonesha nia ya kusaini, hakika ni mchezaji mzur
Adelta
Hendrick anaonekana yuko vzur sana ukiagalia msimuu ambao n ngumu kwa mechi nyingi na usajili hivyo basi ataonyesha mchango mkubwa akiwa ac Milan
Ester mmakasa
Hendrik anafanya mambo makubwa na anajuwa kazi yake ndo maana wanamkubali.
Asha
Hedrick mchezaj mzur Sana wa kingereza
Juliana
Kweli ni kiungo bora aise
Warda
Hendrick anapedwa sana jamani
Tatu
Milan mtafanya kitu poa mkisajili Hendrick
Ester jackson
Habari nzuri sana za Hendrick kijana mahiri sana
Gabriel
Atakuwa na mchango mkubwa sana Hendrick kama Ac Milan wanamsajili kiungo huyo
David pere
Wanajua Kama English premier league Ina wachezaji wazuri Ndio maana wanakimbilia kwenda kuwasajili
Hamidu
Talent player#meridianbettz
Magdalena
Hendrick yupo vizuri Sana anafaa kucheza EPL
Lombo
habar mzur kwa kipind hiki kila kirabu kinafanya machaguzi yake kwa ajil ya kpnd kijacho
Swai
wameonekana sana wakipendelea wachezaji wa kingereza miezi ya karibuni #meridianbet
Amani
Vilabu vingi vya Premier League vimeonyesha nia ya kumsaini Hendrick #
meridianbettz
Povel
Hedrick yupo vzr sana
Emmy cleopa
Hedrick yuko vizur
Mwajuma
Sababu kuna wachezaji wanao jielewa kule
Kenani
Hapo wamepata mtu yupo vzr
Zeiyana
Huu ndio umri wake..!mpira kuna humri wake
Caroline
Jeff Hendric Go go babaa
mwakalosi
milan kama wanataka kujenga timu yao iweshimdani waache hawa wachezaji wa bure
mathayo sonje
sasa ndio muda wa kufanya mabadiliko, nenda italia kaoneshe maujuzi ili burnley wakutafute kwa dau kubwa baadae
Lydia Emmanuel Magoti
Hapo wamepata mtu yupo vizuri
Agness
Hendrick ni bonge la mchezaji
Sadick
Mchina wa Inter alikuja na mpango wa kuimarisha kikosi nashangaa tena anataka vya dezo#meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Hendrick ni mchezaji mwenye kiwango cha juu
Shafii
Gud newz
Neema hassan
Mchezaji makini sana#meridianbettz
Njiku
Yupo poa