AC Milan wamzindua jezi yao mpya ya Puma kwa msimu wa 2021-22, jezi ambayo imeweka usawa kwenye ubunifu kwa kuchanganya radha ya jadi na usasa.

Puma na Milan wameshirikiana na vyuo vikuu vitatu vya ubunifu na mitindo na uwepo wa rangi nyekundu na nyeusi kuimeipa radha inayozingatia ulinganifu wa mistali yenye rangi.

AC Milan wanaamini jezi mpya ‘inasherehekea’ maana ya ‘kusonga Kama Milan’.

AC Milan, AC Milan Watangaza Uzi Mpya wa 2021!, Meridianbet

Jiji likijirudia katika hali ya kawaida, klabu ianaendelea kudumisha na kwa jadi ya rangi nyekundu na nyeusi lakini wanataka kuwakilisha mtazamo mpya pia.

Wakati ‘upeo wa skyscrapers wa kisasa’ ukiibuka jijini, nahodha Alessio Romagnoli alisema jezi mpya inawakilisha ‘anga mpya na inayopanuka’.

“Kuvaa rangi nyekundu na nyeusi kila siku kunanipa fahari kubwa sana” nahodha aliiambia tovuti rasmi ya klabu.

“Jezi mpya inaonekana ya kisasa sana, na unaweza kuona kweli msukumo wa rangi unatika wapi. Ni uwakilishi mzuri wa anga mpya na inayopanuka ya Milan.”


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

AC Milan, AC Milan Watangaza Uzi Mpya wa 2021!, Meridianbet

CHEZA HAPA

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa