AFCON

HABARI ZAIDI

Bernard Morrison Akiondoka Tanzania Atakumbukwa kwa Lipi?

0
Siku moja Bernard Morrison atafunga ukurasa wake kwenye soka la Tanzania, utachagua wewe umkumbuke BM3 kwa lipi, ila binafsi nitaikariri kurasa moja nzuri sana...

Aubameyang Atangaza kustaafu

0
Mchezaji nyota wa klabu ya Barcelona Pierre-Emerick Aubameyang ametangaza kustaafu soka la kimataifa na amethibitisha kuwa hataiwakilisha tena taifa la Gabon ila bado ataendelea...

Klopp: Salah Yupo Tayari Kuwakabili Leicester Alhamisi Hii

0
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amedai kwamba yupo tayari kurejea dimbani kuwakabili Leicester City siku ya Alhamisi siku nne tu baada ya kutoka kupoteza...

AFCON: Historia ya Michuano ya Mataifa Huru ya Afrika

0
AFCON, Michuano ya mataifa huru ya Afrika yalianzishwa mwaka 1957 huku ikishirikisha timu nne ila ni timu tatu ndizo zilizoweza shiriki nazo ni Misri,...

Malawi Walalamika Kutohudumiwa Vizuri AFCON

0
Kocha wa timu ya taifa ya Malawi Mario Marinica amewakosoa waandaji wa michuano hiyo kutokana na huduma mbovu walizokuwa wanapatiwa timu ndogo kulinganisha na...

AFCON: Nane Wafa Huku Watu Zaidi ya 40 Wakijeruhiwa

0
AFCON, raisi wa Caf Patrice Motsepe ametaka uchunguzi wa haraka ufanyike kutokana na janga ambalo lilisababisha vifo vya watu nane na wengine zaidi ya...

AFCON 2021: Okoye na Iwobi Watishiwa Kuuwawa

0
AFCON 2021, wachezaji wa timu ya taifa ya Nigeria Maduka Okoye ambaye ni golikipa na kiungo Alex Iwobi wametishiwa kuuwawa baada ya timu yao...

Algeria Wavuliwa Ubingwa AFCON

0
Mambo yanazidi kubadilika kuelekea hatua ya 16 bora. Bingwa mtetezi wa AFCON, Algeria sasa ni rasmi ameyaaga mashindano. Kwa namna ya kipekee na kustaajabisha, Algeria...

Nigeria Watinga 16 Bora Michuano ya AFCON

0
Nigeria imepata nafasi ya kufuzu katika hatua inayofuata ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Cameroon. Super Eagles waliilaza Sudan 3-1...

EPL: Vilabu vya Uingereza na AFCON 2021

0
Michuano ya AFCON iliyoahirisha mwaka 2021 sasa kuendelea mwaka Januari 2022 wakati ligi kuu ya Uingereza ikiwa imepamba moto huku vilabu vingi vikipoteza wachezaji...