AFCON, Michuano ya mataifa huru ya Afrika yalianzishwa mwaka 1957 huku ikishirikisha timu nne ila ni timu tatu ndizo zilizoweza shiriki nazo ni Misri, Sudan na Ethiopia wakati Afrika kusini ikishindwa kushiriki kutokana na machafuko ya ubaguzi wa rangi.
AFCON kuanzia mwaka 1968 imekuwa ikichezwa kila baada ya miaka miwili, huku idadi ya timu zinazoshiriki zikiwa zinaongezeka na hadi kufikia mwaka 1996 kulikuwa na timu 16 zinazoshiri lakini mwaka 1998 Nigeria alijitoa na kuabaki timu 15 na pia mwaka 2010 Togo nae alijitoa.
Mwaka 2017 AFCON yalifanyika mabadiliko na kuwa timu zote 16 zinazoshiriki ilibidi zicheshwe kwenye droo ambayo itapanga makundi manne, na timu mbili za juu ndio zitakazo ingia kwenye hatua inayofuata,lakini mwaka huo huo tarehe 20 july 2017 mashindano yalisogezwa mbele na kuongeza timu kutoka 16 hadi 24.
AFCON tokea kuanzishwa kwake mashindano ni mara 53 mpaka sasa yanachezwa ukijumuisha na mashindano ambayo yanafikia tamatai hivi leo, huku Misri ikiwa ndio timu iliyoshinda mara nyingi zaidiikiwa imechukua kombe hilo mara saba kuanzia mwaka, 1957,1959,1986,1998,2006,2008 na 2010 huku akiwe rekodi ya kuchukua ya kuchuka mara tatu mfululizo.
Fainali inayokwenda kuchezwa leo kati ya Senegal na Misri, Senegal hajawai kuchukua ubingwa huo hata mara moja japo amefanikiwa kucheza fainali mara mbili, mwaka 2002 na 2019.
Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.