Piere Emerick Aubameyang alikua ndie mchezaji wa mwisho kusajiliwa na Arsenal chini ya usimamizi wa kocha wake wa zamani Arsene Wenger na kumfanya mwamba huyo mchezaji wa soka wa Gabon ambaye anacheza klabu ya Uingereza Arsenal na timu ya taifa ya Gabon ambapo kama ingetakiwa acheze kwenye timu ya taifa alilozaliwa basi yawezekana mwana soka huyo angeitumikia nchi ya Ufaransa, Aubameyang amezaliwa tarehe 18 juni 1989 jijini Laval nchini Ufaransa.
Aubameyang ana jumla ya magoli 20 kwenye mashindano yote kwa msimu wa 2019/20, na amekua aqkishinda magoli 20 na Zaidi kwenye misimu kadh kwa mfululizo tangu kuondoka kwa mshambuliaji wa Uholanzi Robin Vann Persie ambae aliwahi kuifungia Arsenal magoli 17 ndani ya msimu mmja wa ligi kuu ya Uingeleza, huku Jamie Vardy akiivuka rekodi hiyo kwa kufunga magoli 19 ndani ya msimu mmoja.
Aubameyang anaweza kua mshambuliaji pekee wa timu ya Arsenal kuchukua kiatu cha Dhahabu baada ya kile alichochukua Gwiji wa timu hiyo kwa kipindi kile Thiery Henry kwa mwaka 2000.
Mgaboni huyo anakua na jumla ya magoli 17 kati ya hayo magoli 11 alifunga akicheza kama mshambuliaji wa pembeni.
Frank Patrick
Auba akakipige Barca apige hela astaafu tu