RB Leipzig Wampa Schlager Mkataba wa Miaka 4
Klabu ya RB Leipzig imekamilisha usajili wa kudumu kwa kiungo Xaver Schlager kutoka Wolsburg dili itakayodumu mpaka 2026.
Kwa mujibu wa Kicker na Sky Germany waliripoti siku ya Alhamisi kwamba pande zote zipo kwenye majadiliano wakiwa katika hatua nzuri kukamilisha...
Leeds Wapo Tayari Kulipa €12m kwa Marc Roca
Klabu ya Leeds United wamefikia makubaliano na Marc Roca kwenye vipengele binafsi kwa dili ya miaka minne ingawa Bayern Munich wanataka ada ya uhamisho kiasi cha €15m na mazungumzo bado yanaendelea.
Jesse Marsch anamtaka kiungo Marc Roca huko Elland Road...
Bayern Wanasitasita kwa Mane Wanafikiria Mbadala
Klabu ya Bayern Munich wanaonekana kama wamepunguza nia yao ya kutaka kumnasa mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane baada ya mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo Hasan Salihamidzic kusema kwamba Mane sio uchaguzi pekee ambao Bayern Munich wanategemea.
Mane aliijulisha Liverpool...
Liverpool Yaipiga Chini Ofa ya Bayern ya £30m kwa Mane
Klabu ya Liverpool imeikataa ofa ya pili ya pauni milioni 30 iliyotolewa na Bayern Munich kwa Sadio Mane wakidai kwamba dau hilo halitoshi.
The Reds wameshangaa baada ya klabu hiyo ya Ujerumani kurejea tena na ofa hiyo baada ya ofa...
Wachezaji 10 Wenye Thamani Kubwa kwa Sasa
Kundi la utafiti la CIES Football Observatory limewataja wachezaji Kylian Mbappe, Vinicius Junior Erling Haaland na wengine ndiyo wenye thamani kubwa katika soka la dunia kwa sasa.
Mbappe ameongoza orodha ya wachezaji wenye thamani zaidi kuwa na msimu mzuri akiwa...
Daniel Farke Kocha Mpya Borrusia Monchengladbach
Klabu ya Borrusia Monchengladbach imemtangaza Daniel Farke kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo baada ya kusiani mkataba wa kuingoza klabu hiyo hadi mwaka 2022.
Daniel Farke alinza karia yake kwenye klabu ya SV Lippstadt, kuanzia mwaka 2009 hadi 2015 kama...
Lewandowski Haitaki Bayern.
Ulimwengu wa soka la kisasa umegubikwa na mvutano wa nguvu kati ya klabu na mchezaji. Hili linaonekana kwa Robert Lewandowski msimu huu.
Ni dhahiri, Lewandowski hataki kuendelea kuitumikia Bayern Munich baada ya msimu huu. Anachokitaka ni kuondoka klabuni hapo kwenye...
Rummenigge Aomba Radhi kwa Kumuachia Alaba
Mkurugenzi mtemdaji wa zamani klabu ya Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amejitokeza na kuomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kwa kuruhusu mchezaji wa kimataifa wa Austria David Alaba kuondoka Bayern na kujiunga na Real Madrid kwa uhamisho wa bure mwaka...
Manuel Neuer Kusalia Bayern Munich Hadi 2024
Mlinda mlango namba moja wa klabu ya Bayern Munich Manuel Neuer amesaini mkataba mpya ambao utamuweka kwenye dimba la Allianz Arena hadi mwaka 2024
Manuel Neuer alijiunga ba klabu ya Bayern Munich kwenye majira ya kiangazi mwaka 2011 akitokea klabu...
Borussia Dortmund Wamtangaza Edin Terzic Kuwa Kocha Mpya
Klabu ya Borussia Dortmund wametanga Edin Terzic kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo ambapo atahudumu kwenye klabu hiyo mpaka mwaka 2025 kufuatiwa kuondoka kwa kocha wao Marco Rose.
Edin Terzic aliwai kuwa kocha wa muda wa klabu hiyo kuanzia December...