Bayern Munich Wamebeba Kombe la 4, 2020.

Bayern Munich wamekuwa na msimu mzuri 2020 baada ya kubeba makombe 4 ndani ya mwaka mmoja.

Baada ya kubeba taji la Bundesliga, UEFA na Kombe la ligi. Bayern Munich wameibuka tena kidedea katika mchezo wa UEFA Super Cup dhidi ya Sevilla.

Mchezo ambao ulikuwa ni mgumu baada ya Sevilla kuanza kufumania nyavu kupitia mkwaju wa penati dakika ya 13. Ocampos alianza kupeleka kilio Bayern kabla ya Goretzka kurudisha goli dakika ya 34.

Mchezo ambao ulikwenda mpaka dakika 30 za nyongeza baada ya dakika 90 kumalizika kwa matokeo ya 1-1. Alikuwa ni MartΓ­nez Aguinaga aliyepeleka kombe Bayern Munich baada ya kupachika goli dakika ya 104.

Kwa ushindi huu, Munich wanakuwa wamecheza michezo 32 bila kupoteza hata mmoja. Hakika 2020 imewaendea vyema “The Bavarians”


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

34 Komentara

    bayern soka waliicheza ipasavyo walistahili kulipata kombe na wamelipata pongezi kwao

    Jibu

    Acha tuwape hongera..walistahili kwa hilo

    Jibu

    Ukweli tu sevilla walijitaidi sana ila ndio hivyo tena bahati haikua kwao

    Jibu

    Hongera zake

    Jibu

    Pongez sana Bayern kwan mnastahili ilo

    Jibu

    Wanastahili Bayern kupata makombe hayo wamejitahidi sana msimu wa 2020

    Jibu

    Bayern naweza sema ni timu bora kwa msimu wa 2019/2020 na wamestahili kua mabingwa ingawa mechi yao jana ilikua nngumu sana kwani Sevilla hawakukubali kufungwa kinyonge.

    Jibu

    Pamoja na msimu mzuri kwa Bayern inatakiwa kusajiri baada ya kuondokewa na wachezaji 3 waliokuwepo kwa mkopo kutoka timu nyingine#meridianbettz

    Jibu

    Vizuri Sana Wana stairi kubeba kombe wamelipambania kwajudi zote kupata ubingwa huo

    Jibu

    Hongera yao

    Jibu

    Bayern walijua kucheza mpira vizuri na kuwafurahisha mashabiki wao

    Jibu

    Bayern wametisha sana.

    Jibu

    Hongera zake

    Jibu

    Bayern wako vinzur

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Wamejitahidi sana wanasitahili kuwa hivyo

    Jibu

    Hongereni sana

    Jibu

    Bayern wako vizuri sana!!

    Jibu

    Hii ndio bayern kikos cha ushindan

    Jibu

    Wapo vzr Bayern

    Jibu

    Bayern wamejpanga buana

    Jibu

    Champions also win

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    wamestahili kua mabingwa ingawa mechi yao jana ilikua nngumu sana kwani Sevilla hawakukubali kufungwa kinyonge.

    Jibu

    Muendelezo mzuri wa ushindi

    Jibu

    Congratulations

    Jibu

    Bayern wako vizuri sn hongera zao

    Jibu

    Safi sna baryen mmejua kunifraisha

    Jibu

    hongera zao

    Jibu

    Wamekua na msim mzur sana

    Jibu

    Kwa ushindi huu, Munich wanakuwa wamecheza michezo 32 bila kupoteza hata mmoja. Hakika 2020 imewaendea vyema β€œThe Bavarians”

    Jibu

    bayern soka waliicheza ipasavyo walistahili kulipata kombe na wamelipata pongezi kwao

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Congrat kwako

    Jibu

Acha ujumbe