Timu ya Bayern Munich inayoshiriki katika Bundesliga ilifanikiwa kutangazwa kuwa bingwa wa ligi hiyo hapo jana baada ya kushusha kipigo kikubwa kabisa cha 6-0 kwa borussia mönchengladbach.

Katika mechi hiyo Robert Lewandowski alifanikiwa kufunga Hat-trick na kufikisha magoli 39! Vijana wa Hans Flick walionekana kuwa na wakati mzuri sana wakitawala mpira kwa kiwango kikubwa huku wakicheza vizuri na kutumia pande zote, kulia, kushoto na hata katikati.

Bayern wafanya makubwa
Lewandowski akishangilia moja ya magoli yake
Bayern wanafikiwa kuchukua ubingwa huo wa Bundesliga kwa mara ya 9 mfulululizo toka waanze kufanya hivyo mwaka 2013. Wapinzani wa Bayern, Borussia Dortmund huwa wanakuja kwa nguvu sana lakini wanashindwa kufanya chochote kwenye ubingwa huo.

Lewandowski anaendelea kuthibitisha ubora wake, licha ya kuwa na majeraha kwa muda mrefu, kurejea kwake kwenye timu kumeonekana kuipa uhai timu!


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

Bayern, Bayern Yabeba Ndoo Kwa Mara Ya 9 Mfulululizo Kibabe!, Meridianbet

SOMA ZAIDI

10 MAONI

  1. ayern wanafikiwa kuchukua ubingwa huo wa Bundesliga kwa mara ya 9 mfulululizo toka waanze kufanya hivyo mwaka 2013. Wapinzani wa Bayern, Borussia Dortmund huwa wanakuja kwa nguvu sana lakini wanashindwa kufanya chochote kwenye ubingwa huo.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa