Klabu ya Borussia Dortmund imefuta tiketi zote zilizouzwa kwa ajiri ya mchezo wao wa ligi kuu ya Ujerumani dhidi ya Bayern Munich utakaochezwa siku ya jumamosi.
kutokana na sintofahamu ya mripuko wa janga la korona wimbi la nne, klabu ya Borussia Dortmund imefuta tiketi zote zilizouzwa kwa ajiri ya mchezo wao dhidi ya Bayern Munich, kwaiyo hakutakuwa na idadi ya watu 67,000 kama ilivyopangwa hapo awali, Signal Iduna Park hakuna shabiki atayeruhusiwa kuingia.

Borussia Dortmund wametangaza kuwa walionunua tiketi wote watarudishiwa pesa zao, tutawataarifu wote walionunua tiketi kuhusu kuwarudishia pesa zao ndani ya siku chache zijazo.
Gavana wa jimbo la Bavaria kathibitisha kwamba hakuna shabiki anayeruhusiwa kuingia uwanjani, kwa hili katazo pia litahusu vilabu vingine vya Bundesliga kama Augsburg na Greuther Fürth, pia na timu za michezo mingine kwenye jimbo la Bavaria.
Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.