Dayot Upamecano, Mlango Upo Wazi!

RB Leipzig wamefungua milango yao kwa beki kisiki – Dayot Upamecano kuondoka klabuni hapo. Hii ni baada ya Mkurugenzi wa timu hiyo kufunguka.

Dayot Upamecano ni miongoni mwa mabeki wanaotajwa kama ni lulu kwenye soka la Ulaya kwa sasa. Akiwa na umri wa miaka 22, anawindwa na timu kadhaa barani ulaya ikiwemo Man United, Liverpool na Chelsea.

Japokuwa usajili wa Upamecano kwenye dirisha la usajili mwezi Januari hauonekani, mchezaji huyo raia wa Ufaransa ataweza kuondoka Leipzig kuanzia mwezi Julai, ili kumtoa Ujerumani, timu yeyote itakayosogelea milango ya Leipzig iwe na dau la pauni milioni 40.

Mkurugenzi wa Leipzig –  Oliver Mintzlaff  amesema ” tunakikosi ambacho kimejaa ubora kwenye kila nafasi kwa hiyo tutauza baadhi ya wachezaji wazuri kama itakuwa na faida ya kiuchumi na tutaendelea vizuri kwa upande wa uchezaji.”


MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5

Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!

INGIA MCHEZONI

17 Komentara

    Nice update

    Jibu

    Aende tu akatafute riziki kwingine

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Big deal

    Jibu

    Ni vizur

    Jibu

    Aende tu

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Sepa tu

    Jibu

    Kila la kheri Dayot Upamecano

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Asnt kwa taarif meridianbet

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

Acha ujumbe