Jerome Boateng Ashangazwa na Tetesi

Kila kukicha, ulimwengu wa soka unakumbwa na habari mbalimbali – zipo za kufurahisha, kusikitisha, kushtusha na zingine zinashangaza. Jerome Boateng ashangazwa na tetesi za kuondoka Bayern Munich.

Licha ya kwamba mkataba wa Jerome Boateng unaisha mwisho wa msimu huu, taarifa zilizosambaa kwenye vyombo mbalimbali vya habari vikimuhusisha Mjerumani huyu kutimka Bayern, zinamshangaza.

Kwa mujibu wa Boateng, “hakuna aliyenifuata na kuzungumza na mimi, sikuwa ninafahamu chochote kuhusu hilo, nimeshangaa.” alisikika akizungumza na kituo cha Suddeutsche Zeitung.

Ilisemekana Tottenham wanapambana kumpata Jerome Boateng kwani wamekuwa wakimsaka kwa muda mrefu hivyo kumaliza kwake mkataba na Bayern ni habari njema kwa Jose Mourinho.

Kama ilivyo kwa beki mwenzake – David Alaba, Boateng hana uhakika na suala la kuongezewa mkataba ili kuendelea kuitumikia Bayern Munich ambayo amekuwa nayo kwa miaka 9 sasa.

Tangu Boateng aondoke Manchester City mwaka 2011, ameshabeba makombe 2 ya Ligi ya Mabingwa – UEFA kati ya mataji mengine mengi aliyoyabeba akiwa na Bayern Munich.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

28 Komentara

    Kawaida.binadamu wameumbiwa kuongea

    Jibu

    duh watu wanajua kuzusha balaa

    Jibu

    Mambo ya mtandao yamekuwa mengi sana

    Jibu

    Binadamu wamezoea kuongea

    Jibu

    Binadamu kuongea ndio washazoea

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Bina damu barahah

    Jibu

    Binadamu maneno kawaida yao!!

    Jibu

    Uzushi noma.

    Jibu

    duh

    Jibu

    Binadam wana roho mbaya

    Jibu

    Co times waandishi waandika habar iliwawez kujaribu kufany ushawish kuuza habar mtandao au kwny gazeti hiiiiiii ndo dunia yetu ya leo ya utandawazi

    Jibu

    Maneno ni kawaida

    Jibu

    Waandishi wamekuwah watu wakutengeneza Jambo iliwawez kuuza habar mtandao au kwny magazeti mtaani

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Boateng ni mchezaj mzur sana na bayern kumuacha itakua nipengo kubwa

    Jibu

    Hii nikawaida ya waandishi kufanyambo yasiyo ya ukweli zaidi yao wanaweka masilihi zaidi kuliko chochote

    Jibu

    Boateng kuhama ni ngumu

    Jibu

    Ndo binadam hao

    Jibu

    Binadam hatuishiw porojo

    Jibu

    Kwa kawaida fasihi andishi na kauli taarifa ziko sawa kbs waandishi wa habari ninl kawaida kuzusha Mambo coz wanatumia kauli hizi.

    Jibu

    Ester jackson
    November 14, 2020 at 5:54 pm
    Hii nikawaida ya waandishi kufanyambo yasiyo ya ukweli zaidi yao wanaweka masilihi zaidi kuliko chochote

    Jibu

    Mmh hatari

    Jibu

    Dhuuu binadamu c watu wazuri

    Jibu

    wahandishi wa habari ndio walivyo kila siku lazima waandike habari mpya ili walipambe gazeti lao

    Jibu

    Hatar sana

    Jibu

    Aishi nazo tu hizo ni tetesi tu haimaanishi kuwa ni kweli

    Jibu

    Duuh watu wanajua kuzusha balaa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.