Lewandowski: Usiache Kuwa Ndoto

Nyota wa Bayern, mshindi na mfungaji kinara wa Ligi ya Mabingwa 2019/20 Robert Lewandowski anakupa ujumbe huu leo kuwa; “Kamwe usiache kuwa na ndoto”.

Bayern Munich wameweka rekodi ya kushinda mataji matatu kwa msimu wa 2019/20 baada ya kuwachapa bao 1-0 PSG. Hili ni taji la sita la Ligi ya Mabingwa kwa Bayern.

Katika mechi ngumu iliyokuwa na uhaba wa magoli, Kingsley Comans aliichungulia nyavu, ahsante kwa goli lake la kichwa lililowapa Ubingwa.

Huu ulikuwa ni usiku wa kipekee, na usiku wa kumbukumbu muhimu kwa Robert Lewandowski ambaye hakuwahi kufanikiwa kushinda taji hili kabla. Jitihada za kushinda taji hili kabla hajafika PSG ziligonga mwamba alipokuwa Dortmund msimu wa 2012-13 walipopoteza dhidi ya timu yake ya sasa.

Staa huyu ameshinda mataji 8 ya Bundesliga, kwa msimu ulipita amefikisha magoli 55 kwa michuano yote. Staa huyu ametoa ujumbe wake juu ya kutokubali kushindwa kwa kile unachokiamini. Soka linatufunza zaidi ya burudani.

Robert Lewandowski

“Kamwe usiache kuwa na ndoto, kamwe usikubali kushindwa ukifeli. Fanya bidii kutimiza malengo yako. Asante kwa kutupa sapoti na kuamini katika uwezo wetu. Sisi ni mabingwa wa Ulaya.”

Licha ya kutopata goli kwenye fainali dhidi ya PSG, Lewandowski amefunga magoli 15, akiwa amemzidi Erling Haaland kwa magoli 5. Pia alibakiza magoli mawili kufikia rekodi ya Ronadlo kwa msimu mmoja wa UCL.


 

Beti Mbio za Mbwa Mubashara

Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.

Cheza Hapa

42 Komentara

    Kweli unachokiota ndo unakipata Sema kinachelewa#Meridianbettz

    Jibu

    Lewandowski amecheza vzur Sana siku ya Jana amenifurahisha @meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Lewandowski yupo vizuri anajua alinifurahisha Sana jembe hilo kwakupambana

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Kweli kabisa vyema mno kuishi ndoto yako

    Jibu

    lewandowski namkubali sana na anajua nn anachokifanya#meridianbettz

    Jibu

    Maneno yake yanatia moyo na kama Ballon D’Or isingefutwa msimu huu nilitarajio angepata#meridianbettz

    Jibu

    Ni wakati wake kutamba wamefanya kazi sana msimu huu ni timu ilio bora kwa ulaya kwa sasa,bayern wana kikosi bora sana

    Jibu

    Ulimwengu mzima tumefurahishwa na kiwango cha Lewandowski na kufika hatua ya kutamaa jamaa kutwaa Ballon d’Or 2020 ingawa waandaaji wa tuzo hizi wamesema kuwa hakutokuwa na tuzo hizi kwa msimu huu wa 2019/2020 kutokana na janga la Corona

    Jibu

    yupo katika kiwango kizuri sana

    Jibu

    kweli kabisa kamwe usikubali kushindwa fanya bidii kutimiza malengo yako

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Robert Lewandowski kiukwel Jana alionyesha kiwango cha hali ya juu sana hapa inaonekana ndoto zake zimetimia tayar na zinazid kuwaka

    Jibu

    Maoni:hongela sana kwake na timu nzima ya bayern

    Jibu

    Namkubali sana jembe.

    Jibu

    Yupo vizuri sana namkubali anakiwango kizuri sana

    Jibu

    Msimu mzuri kwa lewandoski na bayern ni Kikosi kilicho bora msimu huu

    Jibu

    Yuko sahihi

    Jibu

    Ni Kweli kabisa inabidi tuishi kwanye ndoto zetu hadi zitimie

    Jibu

    Kila mmoja ana ndoto zake ukizifanyia juhudi Bayern walikuwa na ndoto hyo ndiomasna wamechukua ushindi bila ya kuwahofia waasimu wao

    Jibu

    Dream can True 🏆🏆🏆🏆🏆

    Jibu

    Always believe in your dream u want fail

    Jibu

    Lewandowsk mpambanaj katika ubora wako!!!!

    Jibu

    Wamekua na msim mzur

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Bayern msimu huu walikua na kikosi bora na imara walistahili kupata walicho kipata.

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njema, na kamwe usikubali kukata tamaa juhudi na maarifa unafikia malengo yako.

    Jibu

    makala nzr

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Ulimwengu mzima tumefurahishwa na kiwango cha Lewandowski na kufika hatua ya kutamaa jamaa kutwaa Ballon d’Or 2020 ingawa waandaaji wa tuzo hizi wamesema kuwa hakutokuwa na tuzo hizi kwa msimu huu

    Jibu

    Lewandowsk ni mchezaji mzuri Sana

    Jibu

    Yuko sahihi

    Jibu

    Lewandowiksi yupo vizuri na makini sana

    Jibu

    Kweli kabisa

    Jibu

    Bayern walituonesha zaili wanachukua ubingwa ule..!kwa kuangalia matokea yao walikua na matokeo mazuri msimu wote tungeona mshangao kukaza kote walivyo kaza alafu waje kuachia sehemu ndogo kabisa ile si kweli..!big up sana Bayern

    Jibu

    Lewandowski yupo sahihi.huwezi kufanikiwa bila kua na ndoto

    Jibu

    Habari njema sana hizi

    Jibu

    Nihabari njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.