Mpachika mabao bora wa ligi ya Ujerumani Bundesliga anayekipiga kwenye klabu ya Bayern Munich Robert Lewandowski amesisitiza kuwa anahitaji kuondoka kwenye klabu hiyo

Robert Lewandowski ameshikilia msimamo wake wa kutaka kuondoka kwenye klabu hiyo ya Bavaria kabla ya msimu wa 2022/23 haujaanza nchini Ujerumani.

Robert Lewandowski, Robert Lewandowski Asisitiza kutaka Kuondoka Bayern Munich, Meridianbet

Klabu ya Bayern Munich baada ya kufanikiwa kuishawishi klabu ya Liverpool kuhusu kumsajiri Sadio Mane inaweza kuwa ndio ahueni ya mshambuliaji Lewandowski kupata ruhusu ya kuweza kuondoka kwenye klabu hiyo.

“Bado nina mwaka mmoja kwenye mkataba wangu, ndio maana nimeomba klabu  kuendelea na uhamisho. Nadhani kwa hali ilivyo ni njia sahihi uhamisho, hususani, kwa sababu klabu itapata pesa kwenye uhamisho huu.

“Sitaki kuradhimisha kitu chochote, sio kama hivyo, ni kuhusu kutafuta njia sahihi.” Alisema Lewandowski

Mpaka sasa klabu ya Chelsea, Barcelona, Real Madrid na Manchester United  wanahitaji huduma ya mshumbuliaji huyo wa kimataifa kutoka Poland.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa