Nyota mpya aliyesajirijiwa na klabu ya Bayern Munich Sadio Mane kwa mara ya kwanza amefanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha timu ya Bayern Munich leo siku ya ijumaa.

Sadio Mane amejumuika na wachezaji wengine waliosajiriwa na klabu hiyo wakiwemo,  Ryan Gravenberch na Noussair Mazraou kwenye viunga vya Säbener Straße base.

Sadio Mane, Sadio Mane Afanya Mazoezi na Timu Nzima ya Bayern Munich, Meridianbet

 

Sadio Mane amejinga na Bayern Munich mwishoni mwa mwezi June baada ya kuwa na misimu bora kwenye klabu ya Liverpool, huku akifanikiwa kufunga magoli 120, kusaidia kupatikana magoli 48 kwenye michezo 269 akiwa chini ya Jurgen Klopp.

Mane amesaini kandarasi ya miaka mitatu na atava jersey yenye namba 17 kwenye kikosi cha Bayern Munich, Pia anatarajia kuwepo kwenye michezo ya Pre-season ambapo watacheza na DC United na Manchester City kwenye safari ya Marekani.

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa