UEFA Yatoa Msimamo wa Vilabu Bora Uingereza Yang'ara

UEFA, shirikisko la mpira barani ulaya limetoa listi ya vilabu bora barani ulaya, huku vilabu vya Uingereza vikiibukua kidedea kwenye kumi bora hiyo.

Kwenye timu tano za juu za  nchi ya Uingereza imeingiza timu 3 huku Bayern Munich akiongoza kwa jumla ya pointi 122,000, Manchester City point 155,000, Liverpool pointi 111,000, bingwa mtetezi Chelsea akishika nafasi ya nne akiwa na pointi 106,000 Barcelona akishika nafasi ya tano akikusanya pointi 105,000.

Uefa
Uefa

Paris Saint-Germain, Real Madrid, Juventus, Manchester United na  Atletico Madrid wakiingia kwenye kumi bora, huku Tottenham (13) na Arsenal (14)  wakiwakilisha uingereza kwenye ishirini bora ya UEFA.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe