Nyumbani Football Capital One Cup

Capital One Cup

Sancho Afurahia Maisha ya Dortmund

35
Winga wa Klabu ya Borussia Dortmund, Jadon Sancho amesema kuwa "anafurahi sana" kushirikiana na wachezaji wachanga wa Klabu hiyo na anataka kusaidia kuwaongoza - Winga huyo wa kimataifa England mwenye umri wa miaka 20, ndiye chaguo la kwanza msimu...

Nani Atatwaa PFA Msimu huu?

45
Wakati Ligi Kuu ya Uingereza EPL ikielekea ukingoni, ikiwa takribani imesalia mechi moja na kwa baadhi ya timu zimesalia mbili na Bingwa akiwa tayari amejulikana lakini kukiwa kuna mvutano katika Top Four kujua klabu gani itashiriki Ligi ya Mabingwa...

Lampard – Nitaenda na Tahadhari

49
Kocha Frank Lampard kuelekea mechi ya Manchester United vs Chelsea kwenye nusu fainali ya Kombe la FA amesema; "Mabeki wangu wanatakiwa kuwa makini sana, kwasababu kwa aina ya wachezaji wenye kasi kama wa Man utd wanaweza kutengeneza tukio ambalo...

VAR- Haki Inavyopoteza Radha ya Soka

2
VAR ni kifupi cha neno la kingereza lenye maana ya Usaidizi wa Muamuzi kwa Njia ya Televisheni, Hii imekua kawaida sana kwa kipindi cha karibuni kwa waamuzi wa michezo ya kimataifa kutegemea maamuzi ya VAR kutokana na Mwamuzi wa...

Quique Setien: Natamani Kumfundisha Neymar Barcelona

49
Kocha mkuu wa FC Barcelona, Quique Setien amesema kuwa anatumaini kuwa siku moja anaweza kumfundisha nyota wa PSG, Neymar. Neymar alijiunga na PSG kutoka Barcelona mnamo 2017 kwa rekodi ya dunia ya €222m, na amekuwa akihusishwa mara kwa...
Zappacosta na Pjaca Wajiunga Genoa kwa Mkopo.

Zappacosta na Pjaca Wajiunga Genoa kwa Mkopo.

41
Davide Zappacosta na Marko Pjaca wamejiunga na klabu ya Geneo inayoshiriki Serie A wakitokea Chelsea na Juventus. Zappacosta mwenye umri wa miaka 28 alitumia msimu uliyopita katika Serie Aakiwa na timu ya Roma lakini alicheza mechi tisa pekee za ligi...

Bruno Fernandes Ishi Kabla Hujaishia (PART TWO)

44
Ilimchukua wiki tatu kuingia wavuni kwa mara ya kwanza, Baada ya miaka mitatu ya ‘mvua na jua’ akiwa na Udinese, Bruno alijiunga na Sampdoria August 2016 kwa mkopo. Hatimae June 27 2017 baada ya kufanya vizuri katika mashindano ya Euro...
EFL

Makundi EFL

1
Baada ya mechi kadhaa za mtoano za kombe la EFL kupigwa na washindi kupatikana ndani ha hatua itakayowezesha kila klabu kupata pacha yake ya kushindanishwa ili kuendelea kuchuja hadi kupata washindani wawili watakaokutana hatua ya fainali, tayari klabu kubwa...

Pierluigi Collina na Sura si Roho

32
Ipi hukumu kubwa zaidi kuwahi kutolewa duniani? Hakuna anayejua jibu sahihi. Ila ipo moja tunayoweza kuitumia kama mfano, japo sina hakika kama ndiyo hukumu ya kikatili zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya dunia, ila inafaa kuwa mfano mzuri. Ni...

Chilwell Mguu Nje Mguu Ndani Leicester City

32
Ben Chilwell amepanga kuiambia klabu yake ya Leicester City wiki hii kwamba anataka kujiunga na Chelsea. Kocha wa The Blues, Frank Lampard anatamani kumuongezea Chilwell kwenye beki yake ya kushoto kwenye kikosi chake kuelekea msimu mpya wa PL. Chilwell, 23,...

MOST COMMENTED

Eto’o Kuibukia Racing Murcia ya Uhispania.

21
Legend wa soka, Samuel Eto’o, 39,  anatarajiwa kubatilisha maamuzi yake ya kustaafu kwenye soka na kujiunga na kikosi cha Racing Murcia kinachoshiriki Ligi ya...
yanga

Yanga Kuvaana Rivers United Leo

HOT NEWS