Carabao Cup: Ratiba Robo Fainali Inapendeza!

Baada ya bingwa mtetezi wa EFL, Carabao Cup – Man City kufungashiwa virago na West Ham United. Timu 8 kutinga hatua ya robo fainali.

Timu 7 za EPL na 1 ya Championship kuchuana katika kuisaka tiketi ya kucheza nusu fainali ya kombe la Carabao Cup, 2022.

Ratiba kamili ya michezo ya robo fainali hii hapa;

Tottenham Hotspur v West Ham

Arsenal v Sunderland

Brentford v Chelsea

Liverpool v Leicester City

Unaweza kutandaza jamvi lako la ushindi ukiwa na Meridianbet, piga *149*10# au tembelea tovuti ya www.meridianbet.co.tz


JIUNGE KWENYE SHINDANO LETU LA EXPANSE NA USHINDE!

Achana na ndoto za usingizini za kuokota burungutu la pesa, amkia upande wa ushindi halisi kutoka Meridanbet kwenye shindano la Expanse linalojumuisha michezo pendwa ya sloti za mtandaoni iliyopo kwenye promosheni ya Expanse kutoka Meridianbet.

JIUNGE KWENYE SHINDANO LETU LA EXPANSE NA USHINDE! Jinyakulie sehemu ya mgao wa Tsh 1,000,000 kupitia shindano la Sloti za Expanse🔥 Litakalo fika mwsiho Oktoba 31, 2021 saa 5:59:59 usiku‼ Bofya hapa Kujua zaidi

Bofya hapa Kujua zaidi

Acha ujumbe