Kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amekimgia kifua mchezaji wake Harvey Elliott baada ya kushangilia akiwa ameshika baruti ya kuwaka kwenye mchezo wa fainali ya Carabao Cup ambapo walishinda kwa mikwaju ya penati 11-10.

Harvey Elliott 18 naye alikuwa mmoja wapo aliyepiga penati kwenye mchezo huo, FA wamewasiliana na mchezaji huyo kutokana na ushangiliaji wake, ambapo alikuwa akishangilia huku akishika baruti yenye moto mwekundu ambao ulirushwa na mashabiki uwanjani.

Jurgen Klopp

Jurgen Klopp alipofanya mahojiano na kuulizwa kuhusu Harvey Elliott alijibu, “Nizungumze naye? ndio  huenda, Harvey ni kijana mdogo, naweza kuahidi kuwa hatarudia tena, naweza kudhani ilikuwa ni jambo moja baya kuwai kufanywa kwenye mchezo wampira wa miguu? hapana.

“Sherehe ilikuwa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, mziki mkubwa kwenye bus, hakukuwa na mziki wowote kwenye ndege ma tuliwasili nyumbani 12.30am, wachezaji walipata mapumziko jana na leo tulifanya mazoezi, hatakushangilia sana.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa