Chan

Chan

Chan, Morocco Yaweka Historia.

15
Mashindano ya kimataifa kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani barani Afrika, Chan. Yamemalizika wikiendi hii. Timu ya Taifa ya Morocco imeweka historia ya kuibuka kidedea mara mbili mfululizo kwenye mashindano hayo. Morocco waliingia kwenye mashindano haya kama mabingwa watetezi baada ya...
Chan

Chan 2021: Tanzania Yaanza na Kipigo.

20
Mashindao ya kimataifa kwa wachezaji wa ndani - Chan 2021, yameanza kutimua vumbi nchini Cameroon. Tanzania imeanza kwa kipigo dhidi ya Zambia. Taifa Stars wameshindwa kuitumia vizuri karata ya kwanza kwenye mashindano ya mwaka huu baada ya kuruhusu kufungwa 2-0...
Chan

Chan 2021: Tanzania Kuwanyamazisha Zambia

16
Kuelekea mashindano ya Chan 2021, Tanzania inaamini inauwezo wa kuwanyamazisha Zambia (Chipolopolo). Hii ni kwa mujibu wa Nadir Haroub "Cannavaro". Taifa Stars imepangwa kundi D kwenye mashindano ya Chan 2021 ambayo yatafanyika nchini Cameroon. Stars wataitupa karata ya kwanza siku...

MOST COMMENTED

Ratiba ya Soka Leo Ligi Mbalimbali.

18
RATIBA YA SOKA LEO LIGI MBALIMBALI IJUMAA YA TAREHE 18 DECEMBER 2020. Ratiba: #Ratiba Tanzania - Premier League 14:00 Mwadui vs Polisi Tanzania FC 16:00 Biashara Mara United...
Nathan Ferguson

Tetesi za Soka Ulaya

HOT NEWS